Nawasalimia ndugu zangu, poleni na majukumu ya kila siku. 

Utangulizi
Leo nitaanza kuelezea jambo la namba. Namba ambayo nitaielezea leo ni namba 8. Nitaeleza jumbe mbalimbali na siri iliyopo kwenye namba 8.

Katika thread hii nitaelezea namba hii katika nyanja mbalimbali. 
1. Kiimani, 2. Kitamaduni, 3. Kimazingira, 4.Kiroho, 5.Kisayansi,na 6. Kihesabu.
Kwenye imani nitaongelea dini na madhehebu mbalimbali kuhus hii namba.

Kwanza kabisa tukianza kuongelea namba 8 tunaongelea namba inayofuata baada ya namba 7 tukitumia (decimal numbers) namba zinazoanzia 0 – 9.

Kwa kifupi tu; kuna aina nyingi za mfumo wa namba:-
1. Binary Number (0 -1)
2. Octa decimal (0 – 7) base 8
3. Decimal Number (0 -9) base 10
4. Hexadecimal Number (0 – F) base 16
Sasa base tukitaka kuandika namba 8 kwa mfumo wa binary itakuwa ni: 8 base 10 = 00001000 base 2 
Ngoja nisiwachanganye sana. Katika maelezo yangu nitajikita sana kuongelea namba za base 10.
Sasa basi katika thread hii nitakuwa naelezea hatua kwa hatua huku wachangiaji wengine wakichangia. 
Hata hivyo tunatakiwa kujua maisha yetu yamefungiwa kwenye siri ya namba na siri hiyo ipo katika mahesabu. Sasa basi utakapo kosea mahesabu tayari jibu utakalolipata siyo sahihi.

Sasa basi nitaanza kuongelea namba 8 hatua kwa hatua huenda baada ya somo hili baadhi yetu tutaanza kuelewa kusoma nyakati na kujua wakati ni wa kufanya nini. 
Katika huu mfumo wa namba hususani namba 8 tutatumia Gematria method naNumerology katika mambo yetu. Ikumbukwe kwamba katika baadhi ya tamaduni majina, slogan na companies zinakuwa encoded kwenye namba na hivyo kuleta impact kubwa katika physical world. 

History


Kabla ya kuendelea na mambo mengi zaidi hebu ngoja kwanza tuanze kujua historia ya hii namba nane. Na hii namba imeanza kutumia miaka na miaka. Hebu ngoja tuanze kamba ifuatanyo.


The 8 Pointed Star of the Anunnaki
 
In ancient mythology inaelezwa kwamba 8 Pointed start represent the God of heaven who was called Anu (Aunu, Aun). Kwa maelezo ya ziada unaweza kutembelea ukurasa huu hapa: The 8 Pointed Star of the Anunnaki

Vilevile 8 Pointed star ilikuwa inawakilisha goddess Ishtar of Babylonia
The Sumerians called the goddess Inanna. Ishtar/Inanna was the goddess of love and war.
She was the morning and evening star. The goddess was the creator of wisdom.

1536766101209-png.864258

Ishtar/Inanna was the Queen of the Earth and Heaven.

Wicca Festivals
Eight festivals are observed in the Wicca Wheel of the Year. 

1536766435434-png.864266

1536766489368-png.864267

1. Kiimani
=>Hiduisma
Hebu sasa ngoja tuanze kuongelea masuala ya imani mbali mbali kuhusu hii namba nane. Tunaanza imani ya dini ya kihindi.
The Star of Lakshmi

1536767954130-png.864309

Lakshmi is the Hindu goddess of WealthStar of Lakshmi

The Star of Lakshmi is the eight pointed star made up of two squares.

The points symbolize the eight kinds of wealth provided by Lakshmi.
She is a much worshiped goddess. The festival of Diwali (also known as the festival of lights is hugely in her honor.

She is the goddess who may bring wealth and prosperity to her followers.

Many say she will only visit homes that are tidy and clean. Equally important is that she will not call on indolent people.

Roman Empire
Naoma tuendelee kidogo. Kama wenzangu walivyo tangulia kusema kuhusu universe is number. Kama utaijua hii lugha ni mambo nengi sana utayaelewa.

Pythagoras alisema everything is number. 
Ngoja sasa tuongelee Roman empire.
Kwa wale waliojaribu kusoma historia watakubaliana na mimi kuwa Emperor wa kwanza wa Roman Empire aliitwa Augustus Caesar. Baba yake mzazi alikuwa akiitwa Gaius Octavius. Na baba yake mlezi alikuwa akiitwa Julius Caesar. 

Ngoja tuanze kama ifuatavyo. Augustus ndiye aliyebadili calendar ya kimisri na kuweka hii tunayotumia hadi leo. 
Na mwezi wa 8 akauita jina lake mwenyewe. Huku mwezi wa saba akiuita jina la baba yake mlezi Julius kwa kingereza tunasema July. Hii namba 8 aliita internal namba. Yaani namba ya milele. 
Na ieleweke kwamba baba yake mzazi jina lake ni Octavius. Kwa kingereza tunaweza kusema ni Octavian. Sasa 8 inaitwa octa.
Kwa hiyo jina lake na la baba yake yapo encoded kwenye number 8 kwa watu hao ni immoral.

Ikumbukwe kuwa kwenye music 8th note inaitwa octaval note. Kwa baada ya kuzipiga note 7 ukiipiga 8th utakuwa ukeanzisha new generation ya voice. Kwahiyo Augustus alihakikisha kuwa Octavian na yeye wanakuwa immortal. Kila wanapopiga music sehemu yoyote watakuwa wakimkumbuka na kumuabudu yeye. Watu wataalamu wa music mnanielewa ninaposema 8th.

Halafu ikumbukwe kwamba Augustus alikufa akiwa na umri wa miaka 80 yaani 8 multiply with magical number 10.
Nitaendelea tena.

Namba 8 kwenye sayansi
Habari zenu ndugu zangu. Nimerudi tena kuendelea na ndo ndo ndo za kuhusu namba 8.
Jana kuna wenzetu walipendekeza tusitumie lugha ya kingereza. Kusema kweli na mimi nimeliona hilo ni jema, lakini bahati mbaya mambo mengi yameandikwa kwa lugha ya kingereza na lugha zingine zisizo za kiswahili. Sasa basi nitakuwa nikichanganya lugha ya kingereza na lugha ya kiswahili. 

Leo tutaendelea kuongelea hii namba 8, na mwisho wa siku tutaanza kujifunza namna ya kuwasiliana na universe kupitia lugha ya namba.
Chemistry

1536849453333-png.865305

Tunajua kabisa hapa duniani bila ya uwepo wa Oxygen hatuwezi kuishi. Kutoka kwenye periodic table Oxygen ni element yenye atomic number 8. Wengine humu watasema ni coincidence. Lakini kwanin sasa hii namba 8 inakuwa special kwenye maeneo mengi hivyo?

1536850100221-png.865322

Vilevile tukiendelea kuongelea chemistry zipo 8 Allotropes of carbon:-
a) diamond, b) graphite, c) lonsdaleite, d) C60 buckminsterfullerene, e) C540, Fullerite f) C70, g) amorphous carbon, and h) single-walled carbon nanotube.

Facebook Comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here