News Brexit: Boris Johnson kuubadilisha muswada unaokiuka sheria ya kimataifa

Brexit: Boris Johnson kuubadilisha muswada unaokiuka sheria ya kimataifa

-

- Advertisment -

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameufanyia marekebisho muswada wenye vipengele vinavyokiuka makubaliano na Umoja wa Ulaya, katika juhudi za kupata uungwaji mkono wa wabunge wa chama chake cha Conservative.

Wabunge wawili wa chama hicho walioongoza upinzani dhidi ya muswada huo, wametoa tangazo la pamoja na ofisi ya waziri mkuu, linalosema wamekubaliana kuufanyia mabadiliko muswada huo baada ya mazungumzo yenye tija. 

Hata hivyo, waziri kivuli wa biashara kutoka chama cha upinzani cha Labour Ed Miliband, amesema mabadiliko yanayopendekezwa hayaondoi vipengele vinavyovunja sheria ya kimataifa, ambavyo amesema vinaipaka matope sura ya Uingereza mbele ya dunia. 

Mabadiliko katika muswada huo wa soko la ndani, yatahitaji kujadiliwa na kupigiwa kura na wabunge, juu ya kipengele chochote kinachobatilisha makubaliano na Umoja wa Ulaya kuhusu Ireland ya Kaskazini.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

UN: Yemeni belligerents launch prisoner swap talks

A meeting between the Yemeni government and Houthi rebels on swapping prisoners and detainees have started in Geneva, the...

Lavrov says Russia is ready to mediate in the Gulf crisis

Russian Foreign Minister Sergey Lavrov announced today that his country is willing to mediate in the crisis between Qatar...

Victory for Badi team as court reverses order on NMS

 A judge has reversed her orders on the creation of the Nairobi Metropolitan Services in a decision which is...

Amina Mohamed gets nod to proceed to next round in WTO race

 Kenya's candidate in the race for World Trade Organisation (WTO) Director-General post CS Amina Mohamed has qualified for the...

Covid-19: Kenya records 148 new cases, tally rises to 36,724

 Kenya has recorded 148 more Covid-19 positive cases in the past 24 hours raising the country's total caseload to...

BBI will create equal chances for all: Raila

 Opposition leader Raila Odinga (pictured) has asked Kenyans to support the Building Bridges Initiative (BBI) that proposes increase of...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you