News Kanye West akwama kuwania Urais Marekani

Kanye West akwama kuwania Urais Marekani

-

 

Nyota wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Kany West, ameshindwa kufuzu kuwa mmoja kati ya wagombea wa urais katika mji wa Wisconsin kutokana na kuchelewa kuwasilisha nyaraka zake kwa wakati.

Maamuzi hayo yalifanywa na Jaji wa Mahakama ya Brown County Circuit, John Zakowski ambapo alimuondoa msanii huyo kwenye Tume ya Uchaguzi ya Wisconsin.

Msanii huyo alitakiwa kupeleka nyaraka hizo kabla ya Agosti 4 saa 11 jioni, lakini yeye alifika kwenye ofisi hizo saa 11 na sekunde 14, wakati huo tayari mfumo wa upokeaji nyaraka umesimama.

Hata hivyo Kanye West alikata rufaa, lakini Ijumaa wiki iliopita ilisikilizwa rufaa yake ila bado iligonga mwamba. Kanye West anaamini mwisho wa kuwasilisha nyaraka hizo ilitakiwa kuwa saa 11:01 na sio kamili.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Anglican Bishop blasts Nigerian govt over electricity tariff, new fuel price

Following the recent increment in electricity...

Sudan leadership divided over whether to normalise ties with Israel

The military leaders in Sudan’s Sovereign Council, which comprises both civilians and military officers, are interested in normalising the...

Majeneza yaliozikwa miaka 2,500 iliyopita yafukuliwa Misri

Jumla ya majeneza 27 yaliozikwa zaidi ya miaka 2500 yamefukuliwa na wanakiolojia katika makaburi ya zamani nchini Misri.Majeneza hayo...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you