News Marekani yamuwekea vikwazo mke wa rais zamani wa Gambia

Marekani yamuwekea vikwazo mke wa rais zamani wa Gambia

-

- Advertisment -

Wizara ya mambo ya nje ya marekani imetangaza vikwazo vua kiuchumi dhidi ya Zineb Jammeh, mke wa rais wa zamaniwa Gambia, Yahya Jammeh.

Zineb anaami niwa kusaidia au kuruhusu shughuli za ufisadi wakati wa utawala wa mume wake wa miaka 22 katika taifa hilo la magharibi mwa Afrika.

“Zineb Jammeh alitumia nafasia yakekusaidiakwa mali, kudhamini, au kutoa usaidizi kwa mume wake. Alitumia wakfu na misaada kama chambo kusaidia usafirishaji haramu wa pesa kwa mume wake,” taarifa ilisema.

Rais huyo wa wa zamani aliiongoza Gambia kwa miaka 20. Alitoroka nchi baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka 2017 na sasa anaishi Equatorial Guinea.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

UN: Yemeni belligerents launch prisoner swap talks

A meeting between the Yemeni government and Houthi rebels on swapping prisoners and detainees have started in Geneva, the...

Lavrov says Russia is ready to mediate in the Gulf crisis

Russian Foreign Minister Sergey Lavrov announced today that his country is willing to mediate in the crisis between Qatar...

Victory for Badi team as court reverses order on NMS

 A judge has reversed her orders on the creation of the Nairobi Metropolitan Services in a decision which is...

Amina Mohamed gets nod to proceed to next round in WTO race

 Kenya's candidate in the race for World Trade Organisation (WTO) Director-General post CS Amina Mohamed has qualified for the...

Covid-19: Kenya records 148 new cases, tally rises to 36,724

 Kenya has recorded 148 more Covid-19 positive cases in the past 24 hours raising the country's total caseload to...

BBI will create equal chances for all: Raila

 Opposition leader Raila Odinga (pictured) has asked Kenyans to support the Building Bridges Initiative (BBI) that proposes increase of...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you