News Mashirika ya Umoja wa Mataifa yataka Ulaya kuchukua wakimbizi...

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yataka Ulaya kuchukua wakimbizi zaidi kutoka Ugiriki

-

- Advertisment -

 

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema leo kuwa mataifa ya Ulaya yanahitaji kuwachukua wahamiaji zaidi kutoka Lesbos pamoja na makambi mengine yaliyojaa watu katika visiwa vingine vya Ugiriki. 

Mkuu wa shirika la kimataifa la kuwahudumia wahamiaji IOM Antonio Vitorino amesema katika taarifa kuwa inahitajika nia thabiti ya kuwachukua wakimbizi katika nyakati hizi ngumu wakati Umoja wa Ulaya unatayarisha mfumo ambao unaweza kufanya kazi chini ya wajibu wa kugawana majukumu. 

Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi UNHCR nchini Ugiriki Philippe Leclerc, amesema kuwa idadi ya watu katika vituo vya kuwahifadhia wakimbizi katika visiwa vya Ugiriki wanapaswa kupunguzwa na mazingira ya kuishi ni lazima yawe bora.

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Ebonyi police confirms recovery of 14 dead bodies from Ebonyi river

The Ebonyi State Police Command yesterday...

Simulizi ya mwanamume wa Rwanda anayetaka kuoa wanawake 11

 Salongo Mayanja(Maniraguha) ni mganga wa kienyeji nchini Rwanda ambaye ameamua kufuata nyayo za baba yake kwa kuoa wanawake wengi.Kwa...

Belarus imeinya EU kwa kumwalika mpinzani wa Lukashenko

 Wizara ya mambo ya Nje ya Belarus imesema inautazama uwezekano wa ushiriki wa mwanasiasa wa upinzani, Sviatlana Tsikhanouskaya katika...

Makamu wa Rais atangaza neema kwa wakulima wa Mahindi wilayani Ludewa

 Na Amiri Kilagalila,NjombeSerikali imetangaza kuanzishwa kwa kituo cha kununua mazao ya mahindi wilayani Ludewa mkoani Njombe,kutokana na changamoto kubwa...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you