News Mgombea Urais chama UMD “tutatoa Passport bure na tutafuta...

Mgombea Urais chama UMD “tutatoa Passport bure na tutafuta vitambulisho vya NIDA”

-

- Advertisment -

 

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mohamed Mazrui, amesema iwapo atapata ridhaa ya kuongoza Tanzania, Serikali yake itafuta utaratibu wa wananchi kupewa Vitambulisho vya Taifa.

Mazrui amesema, baada ya kufuta utaratibu wa kutoa Vitambulisho vya Taifa, wananchi watapewa hati za kusafiria (Passport) ambazo zitatolewa bure nchi nzima.

“Hati hizo zitawawezesha wananchi hao kusafiri katika nchi yoyote kwa ajili ya kwenda kutafuta maisha, bila vikwazo vyovyote” Mazrui

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Several bandits killed as troops raid Kaduna forest

The Defence Headquarters on Friday said the Air Component of Operation Thunder Strike destroyed bandits’ meeting...

Abia: Ikpeazu has done well – Ngwa Patriots Forum

The president of Apex Ngwa Socio-Political...

French Christian group allegedly backs Syrian regime

A France-based Christian group has allegedly been supporting a militia in Syria loyal to the Bashar al-Assad regime and...

Marekani kupiga marufuku TikTok na WeChat

TikTok na WeChat zitapigwa marufuku nchini Marekani kuanzia Jumapili, endapo Rais Donald Trump atakubali kutekeleza mkataba wa dakika za...

RC Ndikilo atembelea kiwanda cha kisasa cha kuunganishia magari cha GFA Kibaha

 Serikali mkoani Pwani imewataka wawekezaji mbali mbali wa ujenzi wa viwanda kuhakikisha kwamba wanazingatia sheria na taratibu zote zilizowekwa...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you