Sport Michezo (Swahili) Unalipa jina gani goli la Mukoko dhidi ya Mlandege...

Unalipa jina gani goli la Mukoko dhidi ya Mlandege ?, Abbas Pira anamchambua Mkongo huyu 

-

- Advertisment -

Mchezaji anayekuja kwa kasi na anayetarajiwa kufanya makubwa kunako Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Mukoko Tonombe hapo jana aliifungia timu yake @yangasc moja kati ya magoli mazuri kuwahi kushuhudiwa kwa wachezaji waliyosajiliwa dirisha hili.

@abbas__pira anazungumziaje kiwango cha kijana huyu wa Wananchi #yangasc ?

Publisher
Swahili Publisher , Publishes swahili articles in this website

Latest news

Ondo Election: INEC begins recruitment of NYSC members as ad-hoc staff

The Independent National Electoral Commission (INEC),...

Diva atangaza rasmi kuacha kazi Clouds FM

 Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva atangaza rasmi kuacha kazi ndani ya kituo hicho.Kupitia...

Rais wa Belarus aliweka jeshi katika tahadhari

Belarus imesema imefunga mipaka yake na nchi za Umoja wa Ulaya. Lakini maafisa wa Poland wameielezea hatua hiyo kuwa...

Raila Unveils Anti-Ruto Strategy After DP Plans Kisumu Tour

ODM leader Raila Odinga unveiled a plan to counter the influence being amassed by Deputy President William Ruto as...

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you