Tanzania (swahili)

Sagini: Mimba za utotoni zitapungua Mwanzaburiga

Mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Butiama mkoani Mara Jumanne Sagini amewaahidi Wakazi wa Kijiji cha Mwanzaburiga Kata ya Kukirango kutatua...

Uturuki yakosoa tamko la Cyprus, Ugiriki na Misri

 Wizara ya mambo ya nje ya Uturuki imekosoa tamko la pamoja lililotolewa na Ugiriki, Cyprus na Misri, likilaani vitendo vya Uturuki kaskazini mwa Cyprus...

Viwanja vya ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga kujengwa kwa viwango vya Kimataifa

 Serikali imezindua mradi wa ujenzi, ukarabati na upanuzi wa viwanja vinne vya ndege vya Shinyanga, Tabora, Sumbawanga na Kigoma ili viwe na kiwango cha...

Machafuko mapya yazuka Lagos baada ya mauaji ya waandamanaji

 Risasi zimerindima na gereza moja kuchomwa moto katika machafuko mapya mjini Lagos leo, baada ya kupigwa risasi waandamanaji kulikosababisha hasira za kimataifa.  Polisi imesema washambuliaji...

Mwandishi wa habari aomba radhi kwa kumfananisha mchezaji wa Barcelona na ‘mchuuzi mweusi wa barabarani’

Mwandishi wa habari wa Uhispania ameomba msamaha baada ya kumlinganisha Ansu Fati wa Barcelona na mchuuzi mweusi wa barabarani kwenye mechi iliyowapa ushindi wa...

MSIMAMO WA LIGI KUU: Yanga wakaa juu ya Simba

 Hatimaye Yanga wamekaa juu ya Simba kwa tofauti ya pointi tatu. Hivi ndivyo ulivyo msimamo wa ligi baada ya mechi mbili za leo. 

Simba yachezea kichapo Sumbawanga

 Klabu ya Simba yaishikwa pabaya na Tanzania Prison Kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0.  

Mafuriko yawahamisha makazi wananchi nchini Somalia

Zaidi ya watu elfu 341 wamelazimika kuhama makazi yao kwa sababu ya mafuriko yaliyotokea katika miezi 4 iliyopita nchini Somalia. Kulingana na Ofisi ya Uratibu...

Latest news

Must read

You might also likeRELATED
Recommended to you

Hasira; Chanzo kikubwa cha kuvunjika uhusiano!

Hasira; Chanzo kikubwa cha kuvunjika uhusiano! -...

Kenya yatangaza maombolezo ya siku tatu na bendera kupepea nusu mlingoti

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza rasmi siku tatu...

SAHRC to probe EFF member allegedly behind Tracy Zille Twitter account

The South African Human Rights Commission (SAHRC) said...