Azam FC waichapa Biashara United

0
15

Mchezo uliokuwa unapigwa kwenye dimba la Chamazi umekwisha na Azam FC wanapata ushindi wa kwanza baada ya mechi tatu za ligi kuu.

FT : Azam FC 2-1 Biashara United.