Breaking: Kocha wa Simba Patrick Aussems athibitisha kufukuzwa kazi ya ukocha, Okwi atia neno

0
16

Kupitia ukurasa wa Twitter wa kocha wa Simba Patrick Ausssems ameandika haya maneno kuwa:-
“ Kupitia bodi ya Mkurugenzi mkuu wa Simba wamemtaarifu kuwa kuanzia sasa mimi sio kocha wa @simbasctanzania tena”

Chini ya post hiyo aliyewahi kuiwa mchezaji wa Simba Emannuel Okwi ametia neno na kuandika maneno haya:-

By Ally Juma.