Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Ndanda FC

0
30

Kikosi cha Yanga SC kitakachocheza dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (VPL) hii leo majira ya saa 10 jioni.