Klabu ya KMC yamfuta kazi Kocha wake

0
15

Klabu ya KMC ya jijini Dar es Salaam imemfuta kazi kocha wake Jackson Mayanja raia wa Uganda kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo kwenye ligi kuu na michuano mbalimbali msimu huu.