Manara afunguka baada ya Simba kutoka suluhu na Tanzania Prisons

0
15

 Baada ya timu ya Tanzania Prisons kuendeleza rekodi yake ya kutopoteza mchezo wowote msimu huu huku Simba wakipata sare yao ya kwanza. Haji Manara ameamua kumsifia kocha wa timu hiyo kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagramu maneno yafuatayo;

Advertisement

Kongole Mohammed Rishard Adoph umetuweza, ww ni Kocha mzuri sana na kiukweli mbinu zako za leo ugenini zilikuwa sahihi unapocheza na Timu kama yetu!!
@tzprisonsscofficial hongereni sana , it was a tough game today!!
Alhamdulillah kwa Point moja kwetuFacebook Comments