Travis Scott azidi kupata mafanikio makubwa

0
7

Rapa ambaye anatajwa kuwa ni miongoni mwa wasanii wanaojua kulitawala jukwaa kwa sasa duniani,Tavis Scott ameweza kupata mafanikio kutokana na wimbo wake unaokwenda kwa jina la Highest in Room.

Kufanikiwa kufikisha mauzo ya Platinum toka wimbo huo ulipotoka oktoba 4 mwaka 2019 huku akitajwa kuwa ni miongoni mwa wasanii walioweza kupata mafanikio hayo kwa muda mfupi.


 TAZAMA VIDEO HIYO HAPA CHINI