VIDEO: Baraza la wazee Chadema wabariki maamuzi ya Mbowe

0
14

Baraza la Wazee CHADEMA leo Novemba 8 wamebariki msimamo uliotolewa na Mwenyekitiki wa chama hicho Freeman Mbowe wa kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24 mwaka huu.

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la wazee Chadema Hasheem Issa wakati akizungumza na wanahabari ambapo amesema hawajajitoa, bali wamelazimishwa kujitoa kutokana na mbinu figusu zinazoendelea kwenye uchaguzi huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE