VIDEO: Chadema Kibamba wamuunga mkono Mbowe/ Wamvaa waziri Jafo

0
11

Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Kibamba, Ernest Mgawe, amempongeza mwenyekiti wao wa chama Taifa kwa kutangaza kususia uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 24, 2019.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USISAHAU KUSUBSCRIBE