VIDEO: Diwani atumia bodaboda kukagua miradi

0
10

Diwani wa Viti Maalumu kata ya Maruvango Digna John Nassari amekua mstari wa mbele kukagua mradi wa ukarabati wa barabara za kata hizo kwa kutumia usafiri wa pikipiki kutokana ubovu wa miundombiunu ya barabara.ambapo ameshirikiana na wadau wa maendeleo kufanikisha adhma hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE