VIDEO: Katibu wa CUF wilaya ya Tanga afunguka uchaguzi ujao wa serikali za mitaa/ Wagombea wao kukatwa

0
13

Katibu wa CUF wilaya ya Tanga, Thobias Haule, amefunguka kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na baadhi ya wagombea wao kuenguliwa na wasimamizi wa uchaguzi kutokana na sababu mbali mbali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USISAHAU KUSUBSCRIBE