VIDEO: Msako mkali wa usiku kwa wilaya tatu, Ras aapa kuharibu soko

0
12

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kessy Maduka, ameagiza Wilaya  tatu za Dodoma, Chamwino na Bahi, kuhakikisha wanashirikiana kufanya doria katika eneo la msitu wa Chinene magharibi kuhakikisha wanakomesha vitendo vya ukataji wa mkaa katika eneo hilo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE