VIDEO: RC Kagera awakalia kooni wahamiaji haramu, waliowatafutia vibali kukiona cha moto

0
5

Mkuu wa mkoa Kagera Brig. Jen Marco E Gaguti ametoa onyo kali kwa watu wanaotoka nchi jirani na kuingia nchini kinyemera na kuanza kufanya biashara na kulima na kuweka mifugo na makazi ya kudumu hapa nchini bila ya kuwa na kibari kuacha mara moja kufanya hivyo na kuwataadharisha kuwa wasijidanganye kwamba serikali haiwaoni wala kuwajua.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…..USISAHAU KUSUBSCRIBE