VIDEO: Vyama 11 vya siasa vyatoa msimamo uchaguzi Serikali za mitaa, wamtega Waziri Jafo

0
9

Umoja wa vyama 11 vya siasa nchini leo Novemba 8 wametoa tamko kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa ambapo wamesema hawapo tayari kususia uchagiuzi huo kwa masharti huku wakimtaka Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jafo  kuingilia kati ili kutatua kasoro zinazojitokeza katika mchakato mzima wa uchaguzi huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…..USISAHAU KUSUBSCRIBE