VIDEO: Zitto Kabwe amjibu Polepole

0
14

Mbunge wa Kigoma mjini ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemjibu Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole kuhusiana na kauli aliyoitoa jana kuhusiana na kuenguliwa kwa wagombea wa vyama vya upinzani kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24 mwaka huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE