Viingilio vya mechi ya Taifa Stars dhidi ya Equatorial Guinea vyatajwa

0
37

Viingilio vya Mchezo wa kwanza wa kutafuta nafasi ya kufuzu AFCON 2021 kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Equatorial Guinea vyatajwa rasmi.