Kilimanjaro Stars ikijiandaa na mashindano ya Cecafa Challenge

0
15

Timu ya Tanzania Bara “Kilimanjaro Stars” imeendelea na Mazoezi  kuelekea mashindano ya Cecafa Challenge yatakayofanyika Uganda kuanzia Disemba 7-19,2019.