Mechi 3 zilizomng’oa Aussems Simba: Mchambuzi Abbas Apira achambua A-Z kilichomuangusha ‘Uchebe’ (+Vide0)

0
15

Mchambuzi wa soka nchini Abbas Pira ametoa ufafanuzi wa namna ya sababu ambazo zimepelekea kutimuliwa kazi kwa kocha wa Simba SC, Patrick Aussem ‘Uchebe’ huku akizitaja mechi hizi tatu kama ndizo zilizomponza.

The post Mechi 3 zilizomng’oa Aussems Simba: Mchambuzi Abbas Apira achambua A-Z kilichomuangusha ‘Uchebe’ (+Vide0) appeared first on Bongo5.com.