Msimamo wa Ligi Kuu, Yanga yatinga 10 bora

0
17

Yanga wameingia rasmi kwenye10 bora huku Azam FC baada ya sare yao ya juzi dhidi ya JKT, wakiingia 3 bora. Hivi ndivyo msimamo wa ligi unavyoonekana baada ya mechi tatu jana na leo.