Ronaldo ashinda tuzo za mchezaji bora wa Serie A

0
19

Wakati macho yote yakiwa jijini Paris usiku wa jana, huko mjini Milan Cristiano Ronaldo alishinda tuzo za mchezaji bora na mshambuliaji bora wa msimu uliopita katika tuzo za Serie A.

Ikumbukwe huko Paris usiku wa kuamkia leo Lionel Messi ameshinda tuzo ya Ballon Dor kwa mwaka 2019.