VIDEO: DC aahidi donge nono kwa mitaa itakayokuwa misafi

0
11

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa ameanzisha kampeni ya utoaji tuzo kwa mitaa itakayofanya vizuri kwenye suala la usafi ambapo kila mtaa utapatiwa zawadi ya fedha tathilimi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…USISAHAU KU SUBSCRIBE