VIDEO: Dkt. Abas afunguka anavyochafuliwa sifa kisa maafisa habari wa serikali

0
4

Msemaji mkuu wa Serikali Dkt Hassan Abas amewataka maafisa habari wa serikali kufanya kazi kwa weredi kwani kufanya kazi kwao vibaya kunapelekea yeye kukosolewa na serikali kwa ujumla, pia amesema katika mafunzo hayo ya wiki moja watawafundisha maafisa habari hao namna ya kutumia mitandao ya kijamii na namna ya kuandika habari za kiserikali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI……USISAHAU KUSUBSCRIBE