VIDEO: Mkurugenzi wa Kampuni aanguka ghafla baada ya kubanwa na Waziri Jafo

0
23

Waziri wa Nchini Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa, TAMISEMI, Selemani Jafo, ameagiza kabla ya tarehe 30 mwezi huu mradi wa ujenzi wa barabara uwe umekamilika na kuagiza kama utakuwa haujakamilika mkandarasi wa kampuni ya SKOL asipewe tena kazi yoyote kwenye miradi ya TAMISEMI.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI………USISAHAU KUSUBSCRIBE