VIDEO: TAKUKURU yatoa siku kumi kwa mkandarasi wa mabomba

0
11

Mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo, amemuagiza Mkandarasi wa Kampuni ya JUAN, inayotekeleza mradi wa Maji wa Kelema Kuu, katika Kijiji Cha Kelema Balai Wilayani Chemba, Mkoa wa Dodoma, kuhakikisha ndani ya siku kumi mradi huo uwe umekamilika.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…USISAHAU KU SUBSCRIBE