VIDEO: Wabunge wanne wa CUF wamvaa Maalim Seif bila uoga/ Wamuashia moto mzito

0
11


Wabunge wa zamani wa chama cha CUF wakiongozwa na Mussa Kombo, Haroub Shamis, Nassoro Seif pamoja na mbunge wa sasa wa viti maalum Pemba, Rukia Kassim, wamemcharua vikali mshauri mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI….USISAHAU KUSUBSCRIBE