VIDEO: Wanawake wakiwezeshwa wanaweza – MUUNGWANA BLOG

0
7

Imeelezwa kuwa wanawake wengi wamekuwa wakishindwa  kufikia malengo yao katika shughuli za ujasiriamali kutokana na  kuelemewa na madeni kutoka taasisi mbalimbali za kifedha jambo ambalo husababisha baadhi yao kuishi maisha ya kutegemea waume zao pekee

TAZAMA FUUL VIDEO HAPA CHINI…USISAHAU KU SUBSCRIBE