Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa amewataka mamlaka ya maji na usafi wa mazingira vijijini RUWASA, kuacha kuchelewesha fedha za miradi ya maji na kuwa chanzo cha miradi mingi kutopewa fedha kwa wakati, kwani kuanzishwa kwa mamlaka hiyo ni kuwezesha miradi ya maji kutendeka kiufasaha.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI…….USISAHAU KUSUBSCRIBE
Rais John Magufuli amewataka wananchi wa Misungwi na viongozi wake kuacha kuendekeza migogoro iliyokuwa imekithiri wilayani humo na badala yake wajikite kwenye kujiletea maendeleo.Ameyasema...