Watu watatu wafariki katika ajali ya ndege ndogo Marekani

0
3

Watu watatu wafariki katika ajali ya ndege ndogo katika jimbo la Texas nchini Marekani.

Watu watatu waripotiwa kufariki katika ajli ya ndege ndogo iliotokea katika jimbo la Texas nchini Marekani.

Taarifa zilizotolewa  kuhusu ajalih hiyo ni kwamba  itilafu iliotokea katika injini ya ndege hiyo ndio sababu kubwa iliopelekea ajali hiyo.

Ndege hiyo ilikuwa akijielekeza katika  uwanja wa ndege wa kimataifa wa mjini Texas.