Waziri wa nishati wa Marekani ametangaza kuachia ngazi

0
6

Huko nchini Marekani, Rick Perry anayeshikilia wadhifa wa waziri wa nishati wan chi hio tangu mwezi Machi mwaka 2017, ametangaza kujiuzuru wadhifa huo.

Perry alitangaza uamujzi wake wa kujiuzuru kwa kutumia video aliyoisambaza kupitia mitandao ya kijamii.

Donald Trump mnamo mwezi Oktoba alitangaza kwamba, waziri wa nishati Rick Perry ataacha kutumikia wadhifa huo ifikapo mwishoni mwa Mwaka.