Wenyeviti waoga washauriwa kuachia ngazi

0
7

Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala amewataka wenyeviti wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji kuachia ngazi endapo wataogopa vitisho vya uchawi au kurogwa kwa kutakiwa wasitende haki hususan kwenye utatuzi wa migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ni kero kubwa kwa wananchi.