Bongo Zozo apewa Ubalozi wa utalii Tanzania rasmi na Waziri Kigwangalla, Aandikiwa ujumbe huu – Video

0
11

Baada ya kuonekana kuitanza Tanzania Kimataifa Bongo Zozo ambaye ni shabiki wa kujitolewa wa Taifa Stras ya Tanzania akitokea nchini Uingereza ametangazwa rasmi kuwa Balozi wa Kuitangza lugha yetu ya Kiswahili na kuitanzagaza Tanzania kwa Ujumla.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri wa Maliasili na Utalii ameandika ujumbe huu:-

“Balozi Bongozozo!

Umefika wakati sasa nitambue rasmi #FujoIsiyoumiza kama harakati serious ya kuitangaza Tanzania na #Kiswahili chetu; kwanza kwa kumtangaza @bongozozo_tanzania kama balozi wa hiari wa utalii wa Tanzania. Hivyo naelekeza Bodi ya Utalii Tanzania imuandikie rasmi barua ya kutambua mchango wake na kumtangaza kuwa balozi wa hiari wa utalii, pili kumuandalia safari ya kuja kutalii Tanzania. #TanzaniaUnforgettable #HK”

Advertisements

By Ally Juma.

 

Facebook Comments