Bongo zozo baada ya kupewa Ubalozi na Mh. Kigwangalla, Atoa majibu haya – Video

0
9

Baada ya kupewa Ubalozi wa kuutangaza Utalii wa Tanzania Bongo Zozo ambaye ni shabiki wa kujitolewa wa Taifa Stras ya Tanzania akitokea nchini Uingereza ametoa majibu yake na kupokea ujumbe huo wa Hamis Kugwangalla wa kupewa Balozi wa Kuutangaza Utalii wa Tanzania kwa Ujumla, ametoa majibu haya.

Advertisements

By Ally Juma.

Facebook Comments