Idadi ya watu walioambukizwa na virusi vya Corona Ufaransa yafikia 6

0
4

Watu 6 nchini Ufaransa wakutwa na virusi vya Corona.

Mkurugenzi mkuu  katika wizara ya afya nchini Ufaransa Jerome  Salomon  amesema kuwa idadi ya watu waliopimwa na kukutwa na virusi vya Corona NCov imeongezeka na kufikia watu 6.

Salomon amesema kwamba daktari mmoja ameambukiwa na virusi hivyo baada ya kujaribu  kutoa matibabu ya huduma ya kwanza kwa mgonjwa mjini Paris.

Hapo awali nchini Ufaransa watu watano walikutwa na virusi hivyo  mjini Paris wanne na mtu wa sita mkoani Bordeaux.

Facebook Comments