Kichuya arudi simba rasmi

0
7

Timu ya simba SC imemrejesha kwa kumsajili tena Shiza Ramadhani Kichuya inadaiwa kama mchezaji huru.

Timu hiyo bado  haijaweka wazi kama  wameingia mkataba wa muda gani kuichezea timu hiyo.

Advertisement

Facebook Comments