Mabeste awaomba Watanzania waache kumtukana

0
9

Siku chache baada ya Mabeste na mzazi mwenzake kufanyiwa mahojiano kwa nyakati tofauti na kila mtu akitoa yake ya moyoni juu ya kilichofanya waachane matusi yamekuwa mengi kwao ambapo mabeste akaomba watu wasimtukane yeye pamoja na mwenzake.

 Msanii huyo amewaomba Watanzania waache kumtukana yeye pamoja na aliyekuwa mke wake Lisa, kupitia ukurasa wake wa Instagram Mabeste amefunguka haya:-

“Guyz nawaomba Muwe Down Kabisa kwenye hili, Msinitukane wala Msimtukane Mzazi mwenzangu Coz Ukweli Haupo kamilifu ndani yenu katika kuamini hichi tunacho Zungumza .!! Bali kila Mmoja anahadisia tu Maisha yake yanyuma na Mwenza wake katika Alivyo mtenda kwa Ubaya Please nawaomba Mimi kama Mimi samahani 🙏 Coz Mimi sitaongelea Mapungufu ya Mwenza Wangu Kamwe, But kutokana na Maswali yenu juu ya Familia Yangu Yalikuwa Mengi,Na Mlishiliki katika Kutu Support juu ya Kuumwa kwake so Nikajaribu Kuongelea Kwa Nini Tulitengana Tu ..!! Na TATIZO NI CHITTING TU Sikingine .! Si kingine But Juu ya Maisha Mengine Tulivyo Ishi Ama alinikera vipi Ama alinitesa Vipi sita weza kasema Kabisa, Coz alisha kuwa Mke Wangu na Sasa ni Mama wa watoto Wangu..Yeye kama ameweza Kuongea Uwongo Juu yangu na Juu ya Familia yangu akiwalazimishia Jamii ili mumuone yeye nimwanamke Shupavu sana alinivumilia But Mimi ndio Tatizo, Sawa Kabisa Mimi nimekubali kubeba Msalabua hu🙏 NISAMEHENI SANA Na sitarudia naOmba Kama u love my Music Please Support My Music sana Mwaka ndio Umeanza Nimeanza Na Mimi Kuwapa Burudani Nimeachia New video Inaitwa #Qualify link Iko kwa Bio Hapo Juu 👆👆 Support My Music Tuache haya Maisha yalio pita yapite coz haisaidii now Kila Mmoja Anamaisha yake ..Kujuwa Mimi ndio shida Ama Alio nizalia Watoto Ndio Shida Haisaidii Now ..NAWAPENDA SANA NAOMBA SUPPORT YENU TU YA MUSIC IF YOU LOVE MY MUSIC BASI ,#Hayamaishatu“

Facebook Comments