Magoli yote ya Yanga vs Kagera Sugar 0 – 3 uwanja wa Uhuru ligi kuu (+Video)

0
8

Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara Young Africans hapo jana wakiwa katika uwanja wa nyumbani walijikuta wakipokea kipigo mujarabu cha magoli 3 – 0 mbele ya kocha wao mpya Mbelgiji, Luc Eymael kutoka kwa Kagera Sugar mchezo wa ligi kuu.

Advertisement

Facebook Comments