Mchambuzi Abbas Pira ataja mambo 12 yaliyompeleka Samatta England (+Video)

0
16

Mchambuzi wa soka anayekuja kwa kasi nchini, Abbas Pira amejaribu kuzungumzia mambo 12 yanayombeba Mshambuliaji hati wa Tanzania na KRC Genk Mbwana Samatta kutua ligi kuu England.

Mpaka sasa inadaiwa vipimo vya kijana huyo mwenye umri wa miaka 27 vimekwenda vizuri na muda wowote atatangazwa rasmi na Aston Villa

Facebook Comments