”Nishatukanwa sana Kuifunga Simba, nilikuwa namlilia Mungu niifunge Yanga” Kocha Kagera Sugar (+Video)

0
5

Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa ameshatukanwa sana kwa sababu ya kuwafunga Simba SC lakini Yanga SC hwafungi hivyo ushindi wake wajana wa mabao 3 – 0 dhidi ya vijana hao wa Jangwani alikuwa akimlilia Mungu akiwa peke yake ili kuhakikisha na vijana hao nao anawaadabisha ili kuonyesha kuwa yeye hana utimu.

Advertisement

 

 

Facebook Comments