Picha: Kikosi cha Timu ya Taifa ya Wasichana U20 chafanya mazoezi ya mwisho

0
5

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Wasichana U20 kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa KCCA, Lugogo jijini Kampala ikiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Uganda kesho saa 10:00 jioni.

Advertisements

Facebook Comments