Picha: Lugola kuhojiwa leo, hivi ndivyo alivyotinga TAKUKURU

0
5

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amewasili Makao Makuu ya Ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa.

Lugola anadaiwa kusaini ununuzi wa vifaa vya zimamoto na uokoaji vyenye thamani ya Tsh trilioni 1.04 kutoka kampuni ya nje ya nchi bila kufuata sheria.

Advertisements

Facebook Comments