Rais Magufuli amteua Dkt. Hassan Abbasi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

0
5

Rais John Magufuli amewateua makatibu wakuu wapya wa wizara tano akiwamo aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Facebook Comments