Shabiki wa Yanga atema Cheche ”Simba ni kama Mario kijana HB anayependa kuhudumiwa” (+Video)

0
3

Shabiki wa Yanga maarufu AKILI5000 ameifananisha Simba na Mario kijana ambaye anayependa kuhudumiwa bila kufanya kazi.

Kwa wafuatiliaji wa Muziki wa Congo, neno ‘Mario’ lilitumika katika wimbo ambao uliimbwa na msanii, Franco Luambo Makiadi maarufu kama ‘Fraco’ akiwa na TP OK Jazz miaka ya 80 kabla umauti kumfika mwaka 1989 akiwa na umri wa miaka 51.

Advertisement

Facebook Comments