Simba yamrudisha Kichuya kutoka Misri, Yamkaribisha kwa maneno haya

0
10

Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Simba SC jana usiku kabla ya dirisha la usajili kufungwa, ilitangaza kumsajili mchezaji wao wa zamani Shiza Ramadhani Kichuya ambaye alienda kucheza soka la Kimataifa nchini Misri katika club ya ENPPI.

Baada ya kumtambulisha Kichuya waliandika manneo haya kwenye ukurasa wao wa Instagra.

“Mtoto karudi nyumbani, Mwamba Shiza Ramadhani Kichuya amerejea katika klabu na timu ya maisha yake. #NguvuMoja”

By Ally Juma.

Facebook Comments